Aliekua msemaji mkuu wa Simba SC maarufu H. S. Manara. Baada ya kutokea kutokuelewana na klabu yake aliyokua akiitumikia, leo tar 24 August 2021 ametambulishwa rasmi Yanga SC na ya kusaini kandarasi akiwa kama msemaji huru.
Nimekiwekea baadhi ya matukio bofya kuangalia.
Tujikumbushe pia enzi akiwa Simba SC.
Comments
Post a Comment